Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

Labda kama unataka kupata ugonjwa wa pressure na kiharusi mapema ndo utajiuliza mara mbili kuachana na huyo mwanamke.
 


Unampenda mkwe wako au mke wako? Acha ujinga huyo siyo mkeo na siyo mfano mzuri kwa familia.

Kisaikolojia na kimaadili hamna ndoa hapo.

Download hizo picha na video umtumie mama mkwe na baadhi ya ndugu zao alafu utoe talaka.
 
Baba anakula mzigo na mama mzazi anajua, wewe mpe talaka fasta kabla ya tarehe 15/11/2022 utuambie umefungua shauri au bado unaomba ushauri.
 
Mbio za mabasi zinaendeleaje hasa Route ya Dar Mwanza[emoji28]vipi Mallesa bado linaitesa Ally's??[emoji1787]maana ndio nyuzi zako hizo Great Thinker wa JF,hatari sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kama mazuri vile.
 
Daaah...mambo n mengi sana hii dunia. Iko wazi sana dingi anachakata io papuchi ya wife wako. Lkn,kama unahofia maisha ya watoto wako, basi endelea kushare na dingilai.
 
nimescrow najua nitakuta ushahidi wa picha hata moja aliyomtumia,sijakuta.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…