Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

Je kweli uyo ni baba yake kabisa wa kumzaa kabisa?
 
Mzee hapo huna mwanake achana naye fastar,yani utakuja kufa shauri zako,watoto hata usijali watakutafuta tu baadae
 
Hebu weka hapa hizo picha tuone kama ni kweli. Au umeamua tu kumchafua mkeo sababu wewe humfikishi. Weka hapa ushahidi tuone.
 
Najua ni ngumu ila muache tu. Ukijifanya wewe ni muhitaji heshima haitokuwepo kamwe
 
Mambo ya kawaida tu haya yasikupe presha kwakuwa ulikosea toka kule mwanzo ila ujifunze kumshirikish Mungu kabla ya kufanya maamuzi magumu yanayohusu suala nyeti linaloitwa NDOA.
 
Sitaki kuamini ukute bado unajifikiria kama umpe talaka au la!
 
Mkeo anakwambia: "Unakasirika kwa vitu vidogo kama hivyo ukijua mengine si utakufa"

Mkuu kwa kauli hiyo huyo sio mke tena wala haihitaji ushauri wa mtu yeyote,"Hayo mengine" ina maana ana mambo makubwa kuliko hayo uliyoyajua.
 
Kuna kabila moja hapa nchini (siyo wahindi) wana utamaduni wa baba kuchakata mbususu ya binti yake.

Niliwahi kudate na manzi mmoja ambaye kwao wanawake ni wengi, dada zake wameolewa lakini nikaja kugundua mzee wao anapita nao mazima.hata walio kwenyendoa

Nilichukua hatua ya kuachana mara moja na gelofrendi wangu na nikamueleza ukweli kuwa i feel insecure kuwa na wakwe wenye tabia aina hiyo. Ingawa alininasihi sana nisimchanganye na dada zake (alikiri kweli baba anachakata dada zake) yeye hajawahi. Lakini nilikuwa nimeshafanya maamuzi

Baadaye alikuja kuolewa na akaachika baada ya mumewe kugundua mkewe anachumishwa mboga na baba mzazi wa mke. Mzee wao amefariki miaka 5 imepita sasa lakini kaacha doa baya sana kwa bintize.

Mzee kama una uthibitisho wa hizo nyendo na kutumiana picha basi wala usitoe second chance. Biblia imekatza, Quran haijatuhusu hivyo anza maisha mapya usije ukashare laana alizojiingiza huyo mkeo.
 
Aisee! yaani Baba anaenda Bar na mwanae wa kike na wanalewa mpaka alfajiri!!

Au mimi ndio nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu?
 
Story imeshapoteza sifa ya kujadiliwa, umeleta hadithi ya mtu hata humjui na wala sio wewe mhusika..tunashauri au tupige soga?
Hata wewe huwezi kuleta issue kama hii hapa ukajinasibu yamekukuta.

Mtoa mada yamemkuta, anatafuta ushauri, sisi wazee wa bandari tunamshauri atie akili
 
Duh! [emoji848][emoji44][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…