Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

Piga chini hiyo takataka,kemea Pepo,Fanya ibada nyumbani kwako uondoe kabisa mapepo yake,usijari kuhusu watoto,watakuwa tu,wengine mbona tuliachwa,tukiwa wadogo,wazazi wote walikuwa bize na mambo yao,tukaachwa kwenye uangalizi wa ndugu,manyanyaso kibao,kushindishwa njaa,na kipindi hicho,ipo ttcl tu,na posta na simu,hakuna Cha mpesa,Facebook,Wala smart phone,ealy 90s,ila from tender age of 8yrs,nilisavaivu vzr tu,leo nasomesha watoto feza school!!
 

Umeshaambiwa je ukijua mengine si utakufa??
Analiwa na baba yake huyo, na anataka muachane ili awe huru na baba yake.

Muombe Mungu atakwambia cha kufanya

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu uliishia darasa la 4b? Huu uandishi ni balaaa
 
kabla ya kumuacha, kwanza nenda mahakamani ukadai fidia yako kutoka kwa huyo baba mkwe, utalipwa mamilioni kisha achana na huyo shetani.
huyo sie mke bali ni shetani aliye laaniwa.hafai atakutia nuksi na gundu.
 
...Achana naye, hakufai. Wapeane huko na Baba yake. Move on, Mkuu!
Piga Moyo konde, Utaumia Sana lakini Utapona TU...! Na majibu aliyokupa Wameanza Muda Mrefu..!!!
 
Bila shaka ni wapare au wachaga
 
Mkeo amekuambia ukijua na mengine wanayoyafanya si utakufa, bado unamashaka ya nini! Unataka akuoneshe picha zao za kuchumishana mchicha ndio uelewe!
 
Story imeshapoteza sifa ya kujadiliwa, umeleta hadithi ya mtu hata humjui na wala sio wewe mhusika..tunashauri au tupige soga?
Sasa ndo ujue huu ni ukweli kabsaaa jamaa anachapiwa na Baba mkwe wake ! huwezi beba uongo huko eti ulete humu ili iweje? NOOOO!! DOGO UNACHAPIWA AJILI YA KIBAMIA
 
Lbda mtu na Kaka ake au na mpenzi wake
 
Hii story amesema amekopi na kupesti basi ata siangahiki kukomenti chochote
 
ogopa sana Mke au mchumba anaye fanya/anaye penda kufanya mapenzi kinyume cha maumbile, pia kwa mwanaume.
usioe wala usikubali kuolewa na yeyote mwenye tabia hiyo ni hatari kwa mustakbali wa ndoa.
tuwe makini sana tunapo taka kuoa au kuolewa.
 
Mkuu ultoa mahar kwel toshelez kbs?

Maana sio kwa huo ushenz unaofanyiwa
 
Bila shaka ni wapare au wachaga
Yes mojawapo ya kabila hizo.
Gusa unase

Kijana mwenzetu yamemkuta, inabidi ajinasue la sivyo tutakuja kuambiwa hapa kuwa kuna member mwenzetu kasepa mbele za haki soon

Stress zao zinaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…