Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

Mie nafurahi nilijifunza Emorional abuse na Manipulation. Kaka huna sababu ya kuendelea na hiyo ndoa. Mke wako yuko vizuri saaana kwenye kukumanipulate.

Kafanya yoye hayo halafu anakuambia "Ukijua mengine si utakufa?" AGaslighting at its beat yani.
 
Stori za kutunga huwa zinakosa uhalisia. Yaani unatamani kumuacha ila huna uhakika kama wana mahusiono? Pamoja na matukio yoote hayo bado unataka ushahidi mwingine?

Ndio maana anakudharau hawezi kuishi na mwanaume dhaifu kama wewe.
 
Kwann unaleta mambo ya watu huku kuomba ushauri?
Mind your business bana
 
Step father fucks step daughter.[emoji3][emoji3]
 

List Ya Makosa Ambayo Wife Material Hawezi Kuyafanya Abadan
 
Kama ni copy and paste ,basi tuishie kusikitila tu hakuna haja ya kushauri..
 
Wana laana hao

Vyovyote iwavyo mhusika aachane na huyo mwanamke itakuwa bora zaidi
 
Mhh# Kama ni kopi and paste basi hii itakuwa tamthlia ya kifilipino mkuu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Umepima DNA yawezekana sio babake ila walezi waliamua kumtunzia heshima binti/mama na kusema ni mtoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…