Mke wangu na salon za ghali!

pole mkuu, ongea naye tena na tena ili ajue majukumu ya mama wa nyumba, sio suala la ulinioa nikiwa hivi au vile, tunatakiwa tubadilike na wakati na mazingira.
 
Ah hilo jambo rahisi saaana. Wala usikate tamaa na usimuhisi mwenzi wako vibaya kama huna ushahidi. Unaweza kumsaidia kupunguza huo muda wa huko kwa aidha kumtafutia kashughuli kengine katakako mkip busy au wewe mwenyewe jifunze hayo anayofanyiwa huko uwe unamfanyia nyumbani.
 

Mh, We kiboko! Thenks
 
Pole sana, kama kuna jambo linalonibore na kunipotezea muda ni saloon, kwakuwa ukianza hayo ma pedi, manicure etc ni muda, ila kila wiki nayo ni issue, ushauri wangu kwavile mna watoto mwambie aende nao kwenye saloons which care for kids and mama na sio expensive kama Sparkels ya mikocheni, hii itamforce kurudi mapema home,kupunguza matumizi na kuspend time na watoto, maana kama mke ni very high maintenance lady hata home hajishughulishi
 
Kaka take your time advice her and let her know what ur stand is on that issue.

Going to a saloon is not a problem but for how long man.. 10 hrs just for saloon.. Man she must have some thing else which keeps him busy and of-course happy!

Do extensive research and u will find some surprises!

Don't forget to pray we need prayers when we are dealing with these issues!
 

Samahani lakini kwa nitakayoyasema, hapo kwenye red inawezekana ikawa ndio chanzo cha matatizo
1.Mkeo anajiona yuko juu kwa sababu ya kukuzidi shule, ukute wakati ule mnachumbiana alikuwa hajawahi kutamkiwa neno kuolewa na mwanamume waliesawa kielimu so ulionekana mkombozi sasa ameanza kazi amekuatana na level yake wamemchombeza sasa anakuchukulia poa.
2.Umesema anafanya kazi yenye kipato kizuri, waweza kutuambia ni kiasi gani kwa mwezi ili tukufanyie analysis kujua uwiano wa hayo matumizi? Mimi kwa upande wangu mwenzio nahisi kama kuna njemba ana mfinance (samahani lakini ni hisia tu), hivi hata kama unakazi nzuri kiasi gani unaweza kweli kuchezea hela uliyoitolea jasho mwezi mzima kwa dizaini hiyo, au ndio mmeshafanya investments za kutosha sasa hiyo ni ziada?
ni kichwa cha nyumba, sijui dini yako, sasa mbona unaonekana unataka kuwa mkia kabisa badala hata ya kuwa mwili. Mweleze kwamba hupendi then uje utuambie amesemaje.
 
Hiyo pesa analipiwa fanya kazi yaziada utakuta zaidi ya saloon fanyia kazi ushauri labda kama wewe nibushoke hapo utatimliwa kazi unayo nazaidi ukianza kumingilia kwenye program zake fahamu ndoa lazima isambaratike!!
 
atakusikilizaje huku unasema unamgombeza????

ndio maana anakujibu kunya. mpe mapenzi labda kuna ambacho haufanyi kumlizisha akae nyumbani na au mume wote saturday sababu haumtimizii maitaji yake ya kiaina. jiangalie wewe vipi then ongea nae useme na wewe utabadilika nini na muulize haswa y anapenda kufanya hivi
 
Ukisema unaenda naye ujue patachimbika wewe unadhani laki mbili atazipata wapi ukijifanya betri kwenye gari???

should i read between the lines?........laki mbili atazipata......mume....infidel.....aaaah aaaah sijakuelewa labda
 
Kama anaspend mwenyewe sio issue, but pedicure and body scrub 2x week that's ridiculous, kweni aosha masufuria ya hoteli kila siku au haogi. Those services, normally is done once in a month for reasonable woman. Mi nafikiri huo muda anaochukua ni mrefu sana, inabidi uchunguze safari zake nyingine thats the really problem!

Wewe shikilia kuwa muda anaospend na familia yake ni mdogo sana especially on weekend and you're disapproving it. She needs to change
 



Mkuu mvumilie tu kwani ulishapenda,mi kila siku napiga kelele humu kuwa hawa watu wakikuzidi kielimu basi we ukubaliane tu na purukushani zao.
 
Saluni za bei ghali = Nyumba za Kulala Wageni (Bubu)......
 

yaani pearl kwa busara uliyoimwaga hapo kwenye red laiti ungekuwa hujaolewa ningeku-pm
sasa hivi ili tupate kufahamiana zaidi.
 
dah huyu kiboko fanya kazi mpaka damu zitoke puani hapo kuna kazi ya ziada
 
Jaribu kujidai unampenda saana akiwa natural kuliko akiwa na hiyo minywele feki ..

Pia inawezekana kakamatika kwa papaa wa kikongo anamlea..manake wanaume wa congo kwa kupenda masugar mami ya kuwalea.

Hebu chunguza kama kuna papaa hapo saluni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…