Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Unanidai Dompo siku ya Valentine's day plus dinner na one night offer na umpendaye.

Kikao cha wanaume kinafikiria wapi tukujengee sanamu.
 
Nikuulize je ukifa hao watoto una uhakika hawatapata tabu? Unateseka kisa unaogopa watoto kuja kupata tabu.... je una uhakika hao watoto wakikua watakuja kukusaidia? Watu mnajua kulea magonjwa sana. Fukuza huyo mtu tena mpe talaka zote. Unamchekea wewe na kakuona bwege. Ndoa ni kuheshimiana sasa kama hakuheshimu kuna kuna umuhimu gani. Mrudishe kwao. Unaingiaje kwenye ndoa na Mwanamke kisirani mwehu ama mgomvi. Ndugu unalea mwenyewe maradhi.
 
Nakazia qmmk

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kabila lake uyo lazima anatokea nothern part of tanzania.......
 
Mimi sijifanyi bandidu. Kwa akili yangu ilivyo siwezi kupelekeshwa kiwaki asee. Ndio maana nikasema labda nilogwe. Otherwise hakuna kiumbe kitaweza kuniambia kitu.

Ukinizingua unapita alolo chap kwa haraka..
Chapchap shughuli mingi..

Mimi kama wewe mwanamke hawezi kuniendesha labda aniloge.
 
Dawa yake huyo muitie polisi tu akuna namna usijejikuta unafanya kama haya yanayoendelea hapa nchini kila kukicha.ita polisi wakabidhi mtu wao watajua wampeleke wapi kuliko wewe kuja kuishia jela mkuu.nadhani umenielewa
 
Chapchap shughuli mingi..

Mimi kama wewe mwanamke hawezi kuniendesha labda aniloge.
Sindio mangi. Utapelekeshwaje na kiumbe ambae hana madhara kwako asee? Ukimuacha kwani supply ya oxygen itakata kwako?
 
Mrejesho ...

Kheri za mwaka mpya....wanajamvi...
baada ya suluhu za hapa na pale vikao kila siku aliamua kuondoka ndani kakimbia nyumba na kuniacha na watoto 2 (6years old son...2 years..girl) niliona sina budi ya mimi kupambana kiume aliondoka mwezi wa 3 after 3 weeks alirudi na kuniomba nimpe mtoto wa kike mimi nibak na wa kiume ...amekaa kimya sana simtafuti wala yy hanitafuti i've decided to move on ..ila ninapo iangalia future ya watoto wangu roho inaniuma saana....iam really stressful dont know what to do....

kosea kujenga utabomoa ila usikosei kuoa ...MUNGU ATUBARIKI SOOTE...
 
Mkuu kuoa ni bahati nasibu, hao wadudu hubadilika wakiingia ndani, la kufanya oa ila uwe tayari kuacha wakati wowote,
 
daah pole sana mkuu hawa viumbe sio kabisaa... anyway lea wanao mkuu kama umebaki na mmoja mtunze mwanamke akishabadilishwa akili huwezi kuishi nae tena tupa kule anza upya.
 
Mkuu wanawake wa siku hizi ni zaidi ya MBWA, hasa anapokuwa na mchepuko unaomjaza kichwa. Hapo huna mke bali una mlezi wa watoto wako 2. Tafuta mke material uoe bado ungali kijana utakuja kushtuka jua limezama. Utakuja kunikumbuka kuwa mkuu tpaul wa JF nilikupa ushauri konki wa kiume ikiwa utaufanyia kazi mara moja.
 

pole sana, acha kuwa na stress
 
malezi ya baba ni muhimu sana sanaa . pengine kuliko hata ya mama.
upo tayar kuruhusu stranger awe baba wa watoto wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…