Hey,
Natafuta mdada mzuri yaani sura na tabia mwenye sifa za kuwa mke mwaka huu huu wa 2019.
SIFA ZAKE
Umri usizidi miaka 30,
Mkristo,
Awe mrefu kiasi,
Maji ya kunde/mweupe,
Ameajiriwa au kujiajiri,
Kabila lolote.
SIFA ZANGU
Umri miaka 30
Mrefu kiasi,
Mkristo,
Maji ya kunde,
Nimejiajiri na nimeajiriwa,
Njoo PM tuelewane