kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Mke wangu wa kiethopia na kituruki. Mtoto yupo natural wala hatumii mkorogo mda wote sichoki kumuangalia alafu hawekagi yale madude madada wa kibongo wanaekaga usoni, mtoto full natural.
Asikwambie mtu kuwa na mtoto mzuri raha sana hata kazi zinaenda vizuri full amani kumoyo, wasichana wa kibongo wanazingua sana, siku hizi wanaume wa Tanzania tumestuka tunacheza na nyie kupigana misele kuoa nje nchi kwa wabebez wazuri wazuri wanaojitambua.