Mke wangu wa ndoa kapewa Mimba na mtu mwingine

Unaomba ushauri juu ya nini haswa? Manake.sikuelewi kabisa!
kweli hata mi9mi simuelewi kashayavulia nguo ndo anatuuliza tumsaidiaje?
kama niwajuavyo wanawake na mifano niliyoiona akikua tu Baba ake lazima ajitokeze na mkeo ndo atakua wa kwanza kusema si wako!
ushauri wangu kama umeamua kulea lea ila jua mwenye mtoto atakuja kumchukua tuu!
Mbili jiandae kulea wa pili tena maana jamaa ataendelea kumzalisha mke wako maana hapati shida si wanalelewa na wewe?
 
nijulishe huyo mke yuko wapi nami nije nizae naye we si utalea tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…