Mke wangu!

Mke wangu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Jana nilimdanganya mke wangu nasafiri naenda Mbeya kumbe nipo tu kwa mchepuko*
*Kwa bahati mbaya leo mchana ile napanda daladala ya Tegeta nikapishana nae mlangoni.*
*Unajua niliishiwa nguvu nikajikuta tu namuuliza*
*Mke wangu umenifwata hadi huku Uyole!!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa mmoja aliwahi kunipa kisa na sijui ilikuwa ni 'chai ' kama hiyo iliyokutokea sema hii ya pande zote mume na mke

Kuna hizi kumbi za sinema , mume kaaga atakuwa sehemu fulani kumbe kamchukua 'kimada' wake akampeleka ktk ukumbi wa sinema sasa kumbe na wife wa jamaa nae kaenda kuona 'movie' hapo hapo na yy kamchukua 'mchepuko' wake sasa ilipofika 'half time' taa zikawashwa ,kumbe wamekaa jirani ile kutizamana kila mtu akabaki anamuamkia mwenzake 'shikamoo' haha is so fun

Anyway pole mkuu ndo hivyo sema wataalam wanasema hata mtu ukifumaniwa wewe kataa mwanzo mwisho sasa kwa mazingira hayo sijui utachomoka vipi
 
Back
Top Bottom