Mbona unang'ang'ania upewe wewe?? Hajasema hamtaki...lol..nipe mimi, we hakufai hata kidogo
No! Usilipize kisasi, utakuwa unaongeza ugonjwa juu ya ugonjwa. Akupe kwanza sababu za kuamua kucheat, yawezekana ana sababu za msingi.. Pole sana..
Msamehe tu kaka, kaa nae chini uzungumze nae kwa kituo akueleze nn kilipelekea kukucheat, kisha fanyia kazi hayo mapungufu.. Kila la kheri.. ndoa ni kuvumiliana!
Sweetlady... Ivi huwa kuna sababbu za msingi zinazomfanya mtu acheat? Ni kama zipi labda?
Sweetlady... Ivi huwa kuna sababbu za msingi zinazomfanya mtu acheat? Ni kama zipi labda?
uanaume ni vumilivu.
wanaume huwa wanasababu za msingi zinazowafanya wacheat.