Mke wangu

Watu wengine mna roho ngumu sana. Yaani huyo kicheche wewe unakuja hapa kuuliza cha kufanya. Kama ningekuwa mimi adhabu ndogo kabisa ni straight red card hakuna majadiliano. Hakuna cha sababu ya msingi wala sekondari.
 
suala la kucheat huwa linaendana na tabia na hulka ya mtu ... kuna watu wanapenda mahusiano ya zaidi ya mtu mmoja huyu hata ufanyenini lazima atakuwa na mahusiano mengine na lkama ataacha ni kwa muda tu...
nakushauli kaa na mkeo ongea nae kwanza wewe kama wewe hakuna sababu ya kumshilikisha mtu .. kwani ndoa ni ya watu wawili na hakuna mtu wa kukushikia mguu mkiwa ndani... kama hamtaweza nyie kuelewana basi tafuta ustaarabu mwingine
 
Hapo ni uhuni wake tuu...wengi nimeona wanatoa sababu ya kutoridhishwa kwa bed...mwanamke wa karne ya leo hana udhuru tena ktk hili, kwani anaweza kujieleza kwa mwenzi wazi kabisaa(ashikwe/aguswe wapi)..zaidi anaweza chagua angle akafika mlimani...nyamiobo, jichunguze na wewe usijekuwa hushikiki maana mtenda akitendewa..., na uangalie ulikomtoa huyu mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…