Mke

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,033
Reaction score
10,622
Wajameni 2025 imefika sasa! Ajitokeze mdada flani hivi tuoane kama ajali flani hivi bila mauchunguzi na intelijensia nyingi. Kuchunguza sana ni time consumption na muda unaochunguza pepo linautumia kuvuruga. Mengine tutayamaliza tukishakuwa wamoja. Maisha haya kuna muda inatakiwa ufanye maamuzi magumu.

Dada mmoja hivi asiwe mweupe ile pee na awe na nyamanyama kiasi alafu mshapu anayeweza kufanya maamuzi kwa kukitegemea bila kuuliza mizimu kwanza. Karibu sana PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…