mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
Kwa nini waunganishe unakukera nini?Mods unganisheni hii kitu kwa wazee wa kuweka mzigo akapate elimu
Mbona mnazubaa
Ukiwa kule ndo utaona hyo mifano kwa uwazi tena leo wkend utaona mikeka mingi tu wewe ni kukopi na kupest tuKwa nini waunganishe unakukera nini?
Nakazia hapaπMods unganisheni hii kitu kwa wazee wa kuweka mzigo akapate elimu
Mbona mnazubaa
Nimepitia huko kwanza ndio maana nikaanzisha uzi kwa kuwa sijaona nilichokihitajiUkiwa kule ndo utaona hyo mifano kwa uwazi tena leo wkend utaona mikeka mingi tu wewe ni kukopi na kupest tu
Binadamu mna roho mbaya sanaNakazia hapaπ
Hujaona kabisa code za sportybet au betpawa,ebu ngoja na mim nikaoneNimepitia huko kwanza ndio maana nikaanzisha uzi kwa kuwa sijaona nilichokihitaji
Kutoka CAF champions mpaka COPCO CRDB cup. Kweli dunia inazungukaAnayejua kutengeneza mkeka wa buku ambao unaweza kunipatia million 10-30 Tshs. Naomba nisaidie namna ya kuupanga huo mkeka.
mfano naweka timu ngapi? Ni wa kufungana au GG? Mimi sifahamu kabisa betting lakini nataka kuwa najaribu bahati yangu japo mkeka mmoja au miwili kwa wiki.
Unaweza niandikia hata kwa mkono ukaweka picha mimi nitajua cha kufanya.
NB: ninaomba ushauri wa kutengeneza mkeka sitaki ushauri wa betting ni nzuri au mbaya najua ubaya na madhara ya kuingia kwenye betting so usipoteze muda kunipa mahubiri.
Najaribu hata nisipopata sio shidaukisikia uvivu wa fikra ndio huu sasa. Yani unataka upate mil. 10 kwa elfu 1π π π π
Weka mkeka mzee achana na kwenda off topicKutoka CAF champions mpaka COPCO CRDB cup. Kweli dunia inazunguka
Mtongozaji(Mwanaume): Baby niambie basi nifanye nini ili ujue kuwa nakupenda?
Mtongozwaji(Mwanamke): Ili nijue kuwa wanipenda naomba unisaidie kuipeleka Yanga robo fainali CAF msimu huu 2024/2025π€£π€£π€£
Thanks man, ila mimi nataka just mfano wake mkeka unafananaje timu nitwzipanga mwenyeweTafuta sites zinazotoa ubashiri, pitia site kama mkekawaleo.com unaweza ambulia mikeka yenye odds nyingi humo
Code zinategemea na sikuWazee wa mikeka mpeni code mwenzenu
Anayejua kutengeneza mkeka wa buku ambao unaweza kunipatia million 10-30 Tshs. Naomba nisaidie namna ya kuupanga huo mkeka.