The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Kama kakosa kule kwa wakamalia basi hapa ataambulia story tu.Ukiwa kule ndo utaona hyo mifano kwa uwazi tena leo wkend utaona mikeka mingi tu wewe ni kukopi na kupest tu
Wewe ni msng sanaFanya kazi wewe
Hujapitia mkuu, ule uzi una majibu yako yote maana una umri wa miaka 12Nimepitia huko kwanza ndio maana nikaanzisha uzi kwa kuwa sijaona nilichokihitaji
Nitapitia tena.Hujapitia mkuu, ule uzi una majibu yako yote maana una umri wa miaka 12
Post za nyuma nyuma kidogo, miezi hii 8 ama mwaka kabisa kams umevamiwa hivi na vijana wa ovyo. Miaka 2 nyuma mpaka ulipoanzishwa watu wanabadilishana mawazo na kupeana maarifaNitapitia tena.