Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Nitatoa hints TU:
TBC, ITV, ..., ...., ...., UHU....., wanaambatana na BOSS. Tusubiri uchambuzi wa Kachero aliyechambua madhaifu kwenye Press ya LISSU ni imani yangu kwamba na huyu atamchambua vizuri.
- LISSU alisema awali kwamba hawezi kugombea nafasi ya MBOWE.
- Team MBOWE wakamwandalia mchakato wa Abdul. Inaelekea walikuwa na manufaa na mchakato.
- Mchakato wa Abdul ulipokwama wakaandaa mchakato wa kumwengua Moja kwa Moja kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama.
- Wenje akatangaza kugombea nafasi ya Makam.
- Makam akabaini mchakato kuwa na mizizi iliyojichimbia chini zaidi na inasimamiwa kwa umakini mkubwa.
- Makam akaamua kubadili GIA ANGANI
TBC, ITV, ..., ...., ...., UHU....., wanaambatana na BOSS. Tusubiri uchambuzi wa Kachero aliyechambua madhaifu kwenye Press ya LISSU ni imani yangu kwamba na huyu atamchambua vizuri.