Noel Leonard Mgeni
Member
- May 29, 2013
- 62
- 42
chagua chache kadhaa weka mzigo masta acha wogaBetting ingekuwa simple hivo, kule wazee wa kuweka mzigo kusingekuwa na kilio
Mkuu subili match zianzee ndio utajua kuwa kweli hakuna mtu anayejua kesho,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huyu mahondaw ni nani nanonaga wadau wengi wanamtag
tulio mfuata MAN kashatia chuma mtu hukoGalatasaray kapigwa 2-0 huko cup sio ya mchezo Galatasaray amepewa 1.14 kala 2 bila hatari ila 2+ tumeta tunaendela