watu tuna bet timu 3 kwa 50 na inakuja pesa ndeftNitakuja kuweka kosa
Best bet ni timu tatu tuu weka kuanzia laki moja ila ukiweka jero timu 16 umemkabidhi mhindi hela buree
Kubeti mwisho ni timu tatu zaidi ya hapo lazima uisome nowatu tuna bet timu 3 kwa 50 na inakuja pesa ndeft
kumbe na wewe unabetNitakuja kuweka kosa
Best bet ni timu tatu tuu weka kuanzia laki moja ila ukiweka jero timu 16 umemkabidhi mhindi hela buree
yeye siyo mtukumbe na wewe unabet
Mi ni mkongwe ... Gari yangu ya kwanza nilipata hela kwenye mkeka...kumbe na wewe unabet
Nilibet timu 9 na nikala mpunga mrefu tu kwa buku. Hivi vitu bahati hakuna formulaKubeti mwisho ni timu tatu zaidi ya hapo lazima uisome no
teams zimekubali kasoro moja tuuuuEPL mechi za tarehe 24 na 25 september,2016
Man United vs Leicester -1
Bournemouth vs Everton-2
Liverpool vs Hull city-1
Middlesbrough vs Tottenham-2
Stoke vs West brom-1
Sunderland vs Crystal Palace-3
Swansea vs Man city-2
Arsenal vs Chelsea-3
West ham vs southampton-1
HOME WIN=1
AWAY WIN=2
DRAW=3
Changamkieni dili vinginevyo mtanikumbuka
Everton kaharbu shuhul Leo kuna jamaaa nlisikia katoa bonge la tus after 90 minutesDah,Everton kaharibu mkeka..