Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Tangu mkeka wa mwisho utoke nadhani ni Julai mwaka jana halafu ndipo ukaletwa huu uhamisho wa kwenye mfumo.
Juzi kati tena kukaja habari ya kufuata wenza watu wakashughulikia fasta.
Sasa baada ya mambo yote hayo wengi wetu tumetega macho na masikio matarajio yetu ni kuona mkeka kabambe wa uhamisho wa watumishi.
Swali la nyongeza:
Hivi pale kwenye mfumo ili uwe umekamilisha kila kitu inatakiwa pasomekaje?