Mkeka wa usaili kwa jeshi la zimamoto unatoka lini?

Mkeka wa usaili kwa jeshi la zimamoto unatoka lini?

Mabodya2023

Member
Joined
Jul 15, 2023
Posts
7
Reaction score
4
Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka.

Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho.

Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
 
Mwenye lonja zimamoto wanakuja lini tena?
 
Back
Top Bottom