M Mabodya2023 Member Joined Jul 15, 2023 Posts 7 Reaction score 4 Dec 28, 2023 #1 Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Dec 28, 2023 #2 Teyar wapo Tanga wanakimbizana na ving'ora
M Mabodya2023 Member Joined Jul 15, 2023 Posts 7 Reaction score 4 Dec 28, 2023 Thread starter #3 Voice of Tanzania said: Teyar wapo Tanga wanakimbizana na ving'ora Click to expand... Mmmh! Sio kweli kabisa.. Yaan ata usahili haujafanyika, hao walifika Tanga wameenda lini.. Au unazungunzia walioitwa zamani
Voice of Tanzania said: Teyar wapo Tanga wanakimbizana na ving'ora Click to expand... Mmmh! Sio kweli kabisa.. Yaan ata usahili haujafanyika, hao walifika Tanga wameenda lini.. Au unazungunzia walioitwa zamani
Xmonster JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 1,644 Reaction score 2,382 Nov 3, 2024 #4 Mwenye lonja zimamoto wanakuja lini tena?