mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 771
- 450
Kuna tatizo la miamala kati ya MkekaBet na Tigo pesa wahusika tatueni tatizo hili Leo weekend tambueni hilo,tatizo lipo tokea Jana pesa zimekwama hatujui ni nyie au ni Tigo mkipigiwa simu mnatoa majibu mepesi sana.mnakwaza