MkekaBet: Ukiweka pesa kupitia Tigopesa haziingii

mwasipenjele

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
771
Reaction score
450
Wahusika tatueni tatizo la miamala kutoka Tigopesa kwenda mkekaBet kutoka Jana pesa ukiweka kupitia tigo pesa hazingii kwenye account ya MkekaBet. Tambueni muda uasonga na hii ni weekend.
 
Unaweza shangaa baada tu ya game zenye akili kuisha wanaziachia zinaingia..na huu mchezo wanashirikiana na watu wa mitandao ya simu..unajua juzi kati hapa kwenye uefa wamepigwa sana..kwahyo kama wanajipanga hivi.
 
Hawa jamaaa wanazingua sana hata ukiwapigia cm wana jibu kama sio wafanya biashara
 
Wahusika tatueni tatizo la miamala kutoka Tigopesa kwenda mkekaBet kutoka Jana pesa ukiweka kupitia tigo pesa hazingii kwenye account ya MkekaBet. Tambueni muda uasonga na hii ni weekend.
Jamani nielimisheni, mkekabet na premier bet ni vitu gani? Ahsanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…