Mkemi na Kamati Yake Hawana Ubavu wa Kuzuia Point 3 za Rufaa ya Simba

Baba Kiki

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2012
Posts
1,544
Reaction score
943
Kanuni ilishawekwa tangu ligi inaanza kuwa mchezaji mwenye kadi 3 atasimama kucheza mchezo unaofuata. Na pia mchezaji mwenye kadi nyekundu ya moja kwa moja anakosa michezo 3 inayofuatia, na yule mwenye kadi nyekundu isiyo ya moja kwa moja anakosa mechi 2

Mkemi na anayoiita Kamati ya Utendaji ya Yanga wanaijua kanuni hii. Wao wanajua kuwa hata Bokungu wa Simba alipigwa kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi yao na akasimama mechi 3.

Kwa kuujua ukweli huu, Mkemi ukiacha Takukuru, TCRA au Cyber Crime department, hata akienda ktk mahakama ya The Hague, au UN, hata baraza la usalama kama anapenda, hawezi kuzuia pointi 3 kwa Simba.

Ili kuzuia Simba wasipewe pointi 3 anapaswa kufanya yafuatayo

1. Kuthibitsisha kuwa Fakhi hana kadi tatu za njano kabla ya mechi ya Simba
2. Kuwa kama alikuwa nazo, basi alishatumikia ktk michezo ilipopita
3. Rufaa ya Simba imepelekwa nje ya muda, au kwa kamati isiyohusika, au haina vielelezo vinavyotakiwa

Zaidi ya hapa ni kujipa pressure ya bure
 
Tulia dawa iingie, kwa ajibu si mlibadilisha sheria eti anaweza kuchagua mechi ya kumiss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…