MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Jameni Watanzania acheni kuonyesha taswira kwamba kwenu ndio afueni kwa sasa, kwamba baada ya karipio kwenye hotuba ya rais hamna maambukizi tena, maana inasababisha watu wadhani kwamba huko ndio nafuu, na mkiendelea hivi tutakimbilia kuja huko tena kwa maelfu kama mazombi vile......hehehe
Sasa huyu Mkenya alikimbilia Tanzania, akakamatwa huko na badala ya kupelekwa karantini akaswekwa ndani ya jela siku mbili.
Baadaye akaachiwa kisha akazidiwa na kwenda hospitali ya Tanga, kule alikuta hospitali nayo imelemewa maana maambukizi ni mengi. Hatimaye akafariki.
Sasa hapo polisi wote waliohusiana naye, ndugu zao, na hata polisi waliohusiana na hao polisi kituoni, na kila yeyote kwa namna moja au nyingine alihusiana naye au na hao, wote watiwe karantini.
Hii inafaa iwe funzo hata kwa walinda mipaka upande wa Kenya, mnapoachia watu wanapita, mjue na nyie itawakula tu.
========
One of the sons of the Tawfiq Trucking and Bus Empire has succumbed to Corona Virus in Tanzania. The Mombasa based transport company is one of the oldest and most successful transport companies in Kenya. Tawfiq has morphed over the years to become Simba Coach which still dominates routes in East Africa.
According to family sources, the deceased had been quarantined in a Mombasa hospital after developing Corona virus related symptoms.
He however managed to escape from the facility and escaped to Tanzania via the Lunga Lunga border. Unfortunately for him he was detained for two days by Tanzanian authorities. Sources say his condition detoriated when in the Tanzanian cells before being released.
Mombasa Billionaire Who Escaped Quarantine Dies From Covid-19 in Tanzania