Mkenya aikimbia karantini na kwenda kufia Tanzania alikokamatwa na kutiwa jela akiwa anaumwa Corona

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni Watanzania acheni kuonyesha taswira kwamba kwenu ndio afueni kwa sasa, kwamba baada ya karipio kwenye hotuba ya rais hamna maambukizi tena, maana inasababisha watu wadhani kwamba huko ndio nafuu, na mkiendelea hivi tutakimbilia kuja huko tena kwa maelfu kama mazombi vile......hehehe

Sasa huyu Mkenya alikimbilia Tanzania, akakamatwa huko na badala ya kupelekwa karantini akaswekwa ndani ya jela siku mbili.

Baadaye akaachiwa kisha akazidiwa na kwenda hospitali ya Tanga, kule alikuta hospitali nayo imelemewa maana maambukizi ni mengi. Hatimaye akafariki.

Sasa hapo polisi wote waliohusiana naye, ndugu zao, na hata polisi waliohusiana na hao polisi kituoni, na kila yeyote kwa namna moja au nyingine alihusiana naye au na hao, wote watiwe karantini.

Hii inafaa iwe funzo hata kwa walinda mipaka upande wa Kenya, mnapoachia watu wanapita, mjue na nyie itawakula tu.

========

One of the sons of the Tawfiq Trucking and Bus Empire has succumbed to Corona Virus in Tanzania. The Mombasa based transport company is one of the oldest and most successful transport companies in Kenya. Tawfiq has morphed over the years to become Simba Coach which still dominates routes in East Africa.

According to family sources, the deceased had been quarantined in a Mombasa hospital after developing Corona virus related symptoms.

He however managed to escape from the facility and escaped to Tanzania via the Lunga Lunga border. Unfortunately for him he was detained for two days by Tanzanian authorities. Sources say his condition detoriated when in the Tanzanian cells before being released.


Mombasa Billionaire Who Escaped Quarantine Dies From Covid-19 in Tanzania
 

Are your nose and mouth under the mask?? 😷
 
So manyang'au ni chief supplier sahivi...Halafu hujiulizi ni watu wangapi kakutana nao huko Kenya hadi anatoroka kuingia tz,wewe unawaza tu aliokutana nao tz.
 
Its very clear Tanzania are hiding Data. Sio swali an maambukizi na vifo vipo vingi sanaI

 
Huu ushabiki mandazi mnaoleta kwenye uhai wa binadamu kuna siku utafika kikomo baada ya kushuhudia wapendwa wenu wakipukutika kama kuku wenye kideri.
Jibu swali acha blabla! Kwanza hukuulizwa wewe ila kimbekembele chako tu. Basi jibu kwa niaba yake wewe kimbelembele.
 
So manyang'au ni chief supplier sahivi...Halafu hujiulizi ni watu wangapi kakutana nao huko Kenya hadi anatoroka kuingia tz,wewe unawaza tu aliokutana nao tz.

Sisi kwetu tulishakubali tuna mdudu mtaani, hatufichi, nchi yetu sio ya kiujamaa, mfumo ambao husababisha mataifa yefiche data za majanga kwa kuona aibu hadi pale wanalemewa ndio wanaishia kuhaha na kusumbua watu. Nchi yoyote ya kiujamaa ukiona wamefika kutaja wana tatizo, unapaswa ulizidishe mara 1,000 ndio upate uhalsia wake. Mchina mpaka amefika kulia kuhusu Corona, ilikua imemfika kooni, sasa kwa huo usiri amesababisha dunia iteseke. Ujinga ni pale kuona aibu hata kwa kitu ambacho kimekumba kila taifa dunia, yaani usiri usio na tija kabisa, halafu la kushangaza unakuta bado unaomba msaada au kulalamika ukipitwa na misaada wanayopewa wengine wasiokua wasiri.

Kwetu tumekubali tunacho, na tunapima kila siku na kufukuzia kila sehemu tunapata fununu, na tunatoa taarifa kila siku, mara moja moja rais mwenyewe anatangaza taarifa za waathirika na anahamasisha tahadhari kwa misingi ya kisayansi kwa mujibu wa ushauri wa kitaalam anaopata, lakini pia anaagiza tuombe Mungu, maana mkimbie simba huku ukiomba, usipige magoti kuomba, utaliwa.
 
Huu ushabiki mandazi mnaoleta kwenye uhai wa binadamu kuna siku utafika kikomo baada ya kushuhudia wapendwa wenu wakipukutika kama kuku wenye kideri.
Lakini kwakuwa hauchagui wala kuogopa Vyeo, Rangi, Kabila, Umri, Uwezo, Vyama vya Siasa na hata Ukoo. Basi swali lake huyo ndugu alitunze kwa sasa, kuna siku atakaa chini na calculator kabisa kulijibu mwenyewe.

Jezi/Uniform sio kinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…