ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,939
Mkenya Cholo Abdi Abdullah amekamatwa kwa tuhuma za kupanga shambulizi kama la September 11 Marekani.
Mkenya huyo, inasemekana alipenda maelezo na kikundi cha kigaidi na kwenda kuchukua mafunzo ya urubani Philippines mwaka 2017 mpaka 2019.
Inasemekana pia, kafanya research ya kutafuta majengo marefu zaidi Marekani na jinsi ya kupata Visa ya Marekani.
Inasemakana, mpango wake ni kuteka ndege ya abiria, kuingia kwenye chumba cha kurushia ndege na kutekeleza mpango kama ule wa September 11 ambapo ndege iligonga jengo na kuuawa watu kadhaa Marekani.
Mtuhumiwa huyo aliyekamatwa Philippines mwaka jana, ana safirishwa kwenda Manhattan Marekani kusomewa mashitaka.
Habari kutoka Newyork times
www.nytimes.com

Kenyan Planned 9/11-Style Attack After Training as Pilot, U.S. Says (Published 2020)
An operative for the Qaeda branch in East Africa, known as Shabab, is accused of training as a pilot in the Philippines and researching how to hijack planes.