Mkenya Akamatwa akipanga kufanya shambulizi kama la 11/9 Marekani

kuna wavaa vipedo watakuja kutuambia hapa kuna mkono wa Israel na marekani
 
Hugo mkenya wala asingefanya huo ungese yeye alitaka apewe ndege akaiuze kwa mpenda mandege mzee wa CHATO
 
Nimeona tu Ugaidi. Nikajua muhusika atakuwa Muislam,

Kama nimekosea nisamehewe tu, ila huo mtazamo ni wa wengi

Wabillah Tawfiq,
 
Ninyi mnaenda kimataifa zaidi mmevuka EA. Ila hivi virusi wanatuharibia sana.

Bora upige huko kimataifa kwa mabeberu, sio unapiga kwa jirani, huyo Mchagga sijui Mpare aliingia mahakamani huku amevaa kofia yenye bendera ya Tanzania kuashiria alivyo mzalendo kwa nchi yake wakati alikuja na kuua wanafunzi wetu kwa mabomu.
Nawaza hapa angekuja Mkenya awalipue mabomu halafu aonyeshe jeuri ya kuvaa bendera ya Kenya mngekesha mkitulilia kila siku.
 
Nimeona tu Ugaidi. Nikajua muhusika atakuwa Muislam,

Kama nimekosea nisamehewe tu, ila huo mtazamo ni wa wengi

Wabillah Tawfiq,

Subiri majibu na usiende mbali...hehehe
 
Yale yaleeee, ni Muislam mwingine aliyetaka kujitoa muhanga kwa amri za Mohammad. Nauliza, kwanini kila gaidi duniani ni Muislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…