MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Haya makampuni ya kigeni huhitaji akili kubwa kwenye uongozi, hutumia vigezo vingi sana wakati wanamtunuku mtu yeyote ukurungenzi au uongozi wowote, na sio ajabu wakakosa wa kumuajiri kwenye nchi yenu yote hata kama mpo milioni mia huko.
Huyu dada, Watanzania walimkataa kisa eti haiwezekani kwa watu milioni sitini akosekane mmoja ambaye anaweza kufanya kazi yake, ila sasa hao Vodacom mpaka sasa waligoma kuajiri mzawa na wanaendelea kuajiri wazungu.
MTN Uganda imemteua kama Mkurungenzi, uzuri Uganda huwa hawana matatizo, wao hufuata ufanisi, hawana muda wa majungu.
============
MTN Uganda has appointed Sylvia Mulinge –currently the head of consumer business at Safaricom— as its new chief executive starting September 1.
The move marks Ms Mulinge’s successful jump to the CEO’s post after her appointment to lead Vodacom Tanzania in 2018 was thwarted by Tanzanian authorities who refused to issue her with a work permit.
MTN Uganda, which has been rolling out services similar to those pioneered by Safaricom, will be relying on her extensive experience to grow the business.
“Sylvia Mulinge becomes MTN Uganda CEO, joining from Safaricom, where she served as Chief Consumer Business Officer for the Group. A seasoned executive, she brings with her a passion for transforming customers’ lives using technology,” South Africa’s MTN Group said.
“Mulinge replaces Wim Vanhelleputte, who will take on the new MTN Group role of Operations Executive: Markets.”
Ms Mulinge was among three CEOs that the multinational has appointed for its various markets effective the same date.
Source: Business Daily Africa