joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Niliwahi kufungua uzi wenye kichwa cha habari "Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona", baadhi ya watanzania na wakenya wasiokua na uwezo wa kuona mbali walinishutumu na kuniomba niufute ule uzi au niombe radhi, je bado wapo wanaotaka niombe radhi, au wao ndio wanapaswa kuniomba radhi?