joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwenye post yako sijaonaNiliwahi kufungua uzi wenye kichwa cha habari "Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona", baadhi ya watanzania na wakenya wasiokua na uwezo wa kuona mbali walinishutumu na kuniomba niufute ule uzi au niombe radhi, je bado wapo wanaotaka niombe radhi, au wao ndio wanapaswa kuniomba radhi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza hii audio clip hadi mwisho, mwenyewe anakiri katika hiloKwenye post yako sijaona
Mkenya aliyeongoza kumpinga na kumkashifu Magufuli, aungama na kuomba Magufuli awe rais wa Africa
cc.Tony254Aisee joto la jiwe uliona mbali kaka, wengine tumapaswa kukuomba radhi,hasa hawa Manugu kutoka kaskazini.
Tatizo mnaficha takwimu
Niliwahi kufungua uzi wenye kichwa cha habari "Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona", baadhi ya watanzania na wakenya wasiokua na uwezo wa kuona mbali walinishutumu na kuniomba niufute ule uzi au niombe radhi, je bado wapo wanaotaka niombe radhi, au wao ndio wanapaswa kuniomba radhi?
tonyboyHamna siku shit-hole itakuja kuongoza Afrika.
Bei ya kitungu mtawezanaHamna siku shit-hole itakuja kuongoza Afrika.
Not only Africa, hebu angalia hats wazungu wanaangalia vile sisi tunafanya au vile rais wetu anavyopambana na corona then nao wanaiga kutoka kwa JPMMagufuli ndiye Rais muongoza njia Afrika
viva rais magufuliNot only Africa, hebu angalia hats wazungu wanaangalia vile sisi tunafanya au vile rais wetu anavyopambana na corona then nao wanaiga kutoka kwa JPM
Leo Trump amewaamrisha makanisa na miskiti ifunguliwe akidai kuwa taifa lake linahitaji maombi zaidi kuliko wakati wowote
JPM is a foresighted leader ,long live JPM.
Sent using Jamii Forums mobile app
baada ya uchaguzi ujao.bunge lifanye marekebisho aongezewe miaka mingine kumi.
tanzania itakuwa kama dubenga kwa miundo mbinu bora na uchumi imara
Sent using Jamii Forums mobile app
wanakijiwe chao cha kahawa kwenye kitaa flani hivi naendaga kuwachana live.mpaka nikapata watu wa kunisapot hapo apo.
Aah wapi!Bei ya kitungu mtawezana
Mbn washaukimbia na uzi wenyewe [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Niliwahi kufungua uzi wenye kichwa cha habari "Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona", baadhi ya watanzania na wakenya wasiokua na uwezo wa kuona mbali walinishutumu na kuniomba niufute ule uzi au niombe radhi, je bado wapo wanaotaka niombe radhi, au wao ndio wanapaswa kuniomba radhi?
Naunga mkono hojabaada ya uchaguzi ujao.bunge lifanye marekebisho aongezewe miaka mingine kumi.
tanzania itakuwa kama dubenga kwa miundo mbinu bora na uchumi imara
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli had I akakimbia mikutano ya jumuiyaaMagufuli ndiye Rais muongoza njia Afrika