dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Ukiamua unaacha, mtaani kwetu magomeni kuna mtu/teja kakusanya mia mia zake kwa kupiga debe stand mpaka zikatimu za kete, kwenda kwa pusha kumpa,pusha kampiga nazo,aliganda kama robo saa akiziangalia pesa zake alizopata kwa shida,akazikusanya na kuapa kuacha dawa za kulevya na akaachaMi najua madawa, Jinsi yalivyo namshukuru sana, Marehemu Jina la Utani Bombi.
Alikua ananikataza.
Usinywe pombe, usivute sigara.
Nakukaza Tena nakukataza mdogo Angu USITUMIE Madawa ya kulevya.
Alikua ameathirika na madawa. Anatamani kuacha lakini Haliwezekani.
Kweli kaka mi nimekulia Kinondoni kaka, mitaa ya Moscow. Na kama unapajua Kwa Mzee magongo.Ukiamua unaacha, mtaani kwetu magomeni kuna mtu/teja kakusanya mia mia zake kwa kupiga debe stand mpaka zikatimu za kete, kwenda kwa pusha kumpa,pusha kampiga nazo,aliganda kama robo saa akiziangalia pesa zake alizopata kwa shida,akazikusanya na kuapa kuacha dawa za kulevya na akaacha
Moscow nilikua na dem namfata mitaa ya magogoni,chikuKweli kaka mi nimekulia Kinondoni kaka, mitaa ya Moscow. Na kama unapajua Kwa Mzee magongo.
Toka jpili march 16 mkenya aliyepatikana na dawa za kulevya ktk nch ya Vietnam alitarajiwa atanyongwa march 17 saa 8.30 za usku.
Hadi kufika Leo sijaona taarifa yoyote kuhusu mkenya huyo na serekali ya kenya ili kuwa ina haha kutafuta jinsi ya kumnasua mwezao huko Vietnam asinyongwe. sijajaua juhudi za serekali ziligonga mwamba au serekali kali ya Vietnam inekubali kusitisha mpango wake huo.
Majibu nahitaji.
Mm sijawai kutumia dawa za kulevya zaid tu kuonja bangi for the first time mwak 2003 ila kiukweli swal la kumnyonga mwanamke huyu linaniumiza sna hata kama ana hatia ila siyo kum nyonga
Nawasilisha nikiwa mabibo dsm
Hajanyongwa serimali ya Kenya imeingilia katiwana andaa mazishi
jambo zuri.ashukuru MunguHajanyongwa serimali ya Kenya imeingilia kati