Mkenya ambaye ndiye mwalimu bora duniani, awa na kikao na Trump huku akijiandaa kuhutubia baraza Umoja wa Mataifa

Mkenya ambaye ndiye mwalimu bora duniani, awa na kikao na Trump huku akijiandaa kuhutubia baraza Umoja wa Mataifa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mkenya aliyetunukiwa tuzo la mwalimu bora dunia yote hii amepata fursa ya kukaa kikao na rais wa Marekani, baada ya hapo amealikwa kuhutubia baraza la Umoja wa Mataifa, hongera sana dogo kwa kuwakilisha.

Peter Tabichi and US president Donald Trump in the White House www.businesstoday.co.ke

Peter Tabichi and US president Donald Trump in the White House [Photo/Twitter]

Peter Tabichi, the 2019 Global Teacher Prize Winner on Monday meet with United State President Donald Trump at the White House.
Teacher Tabichi is expected to give a special address at the United Nations General Assembly in New York.



Describing Tabichi as an inspiration to everyone, White House Press Secretary Stephanie Grisham tweeted the photo of the 37-year-old science teacher with President Trump.

https://twitter.com/PressSec
https://twitter.com/PressSec/status/1173660740248580096

This morning, President @realDonaldTrump met with Peter Tabichi, the recipient of the 2019 Global Teacher Prize! Peter is a science teacher who gives away 80% of his monthly income to help the poor in his home country of Kenya.
View image on Twitter

9,950

9:11 PM - Sep 16, 2019
Twitter Ads info and privacy

3,146 people are talking about this



“His dedication, hard work, and belief in his student’s talent have led his poorly resourced school in Kenya to emerge victorious after taking on the country’s best schools in national science competitions. Peter, you inspire us all! Thank you for your commitment to your students,” tweeted Grisham.

However, the details of what was discussed during the meeting were not disclosed.

The maths and Physics teacher will be the first in his profession from Kenya to address the 74th UN General Assembly.


He is expected to give remarks on how he made it to the top of the teaching profession and probably explain how he manages to inspire great performance amongst children who live in a region where drought and famine are frequent.

Brother Tabichi, a member of the St Franciscan Friars, a religious order founded by St Francis of Assisi in the 13th century.

In March, the science teacher at Keriko Mixed Day Secondary School at Pwani village in Njoro, Nakuru County won the 2019 Global Teacher Prize. It came with a reward of Ksh100 million.

In April, Tabichi was appointed a champion for children in conflicts and crisis by a global body, Varky Foundation.

He now champions the cause of the 75 million children worldwide whose education is disrupted by conflicts and natural disasters.

Former UK Prime Minister Gordon Brown, the UN Special Envoy for Global Education and Chair of Education Cannot Wait’s High-Level Steering Group, recently described Tabichi as an inspiration to all involved in teaching and learning, and said he is looking forward to working with him.

 
hongera zake mazeee...ametema yai la hatari na mtemi trump dahhh, ung'en'ge rahaaa...sipati picha ingekuwa ni mswahili mambo yangekuajee!!?
 
Ni jambo jema na mfano wa kuigwa.
Kila mtu akiamua kufanya akipendacho kwa bidii, tutafika mbali sana.

Lakini badala ya kujifunza kwenye huu uzi, muda si mrefu utageuka kejeli za ukenya na utanzania, nashindwa kuelewa chuki za nini badala ya kutiana moyo?
 
holds up his trophy on March 27, 2019 upon arrival at Nairobi's Jomo Kenyatta Airport from Dubai. - Tabichi, a mathematics and physics teacher at Keriko Mixed Day Secondary School in Pwani village, Nakuru County, won the Global Teacher Prize for 2019,


Peter Tabichi kutoka Kenya, aliyetuzwa Mwalimu bora duniani mapema mwaka huu, amekutana na rais wa Marekani Donald Trump katika ikulu ya White House huku akitarajiwa kutoa hotuba katika baraza kuu la Umoja wa mataifa leo.

Brother Tabichi, ni mtawa wa shirika la kikatoliki la Mtakatifu Fransisco wa kapuchini na alishinda tuzo ya mwalimu bora duniani mnamo Machi 2019.

Anafunza sayansi katika shule ya mseto ya upili ya Keriko katika kaunti ya Nakuru, kaskazini magharibi mwa mji mkuu, Nairobi.

Picha ya Tabichi akikutana na rais Trump iliwekwa na afisa wa mawasiliano kutoka ikulu kwenye Twitter ambaye alisema Tabichi alitoa " 80% ya mshahara wake kwa mwezi kuwasaida masikini nchini mwake Kenya"
Ujumbe wa Twitter wa @PressSec: This morning, President @realDonaldTrump met with Peter Tabichi, the recipient of the 2019 Global Teacher Prize! Peter is a science teacher who gives away 80% of his monthly income to help the poor in his home country of Kenya.

"Uwajibikaji wake na kazi yake ngumu na imani kwa talanta ya wanafunzi, imeifanya shule anayofunza kuibuka kidedea baada ya kushindana na shule zilizo bora nchini katika mashindano ya kitaifa ya sayansi.

Peter, unatutia moyo sisi sote! Asante kwa uwajibikaji wako kwa wanafunzi wako." Alisema Stephanie Grisham kutoka ikulu ya Marekani.

PETER TABICHI


Tabichi anatarajiwa kutoa maombi kabla ya kuanza kwa kikao cha baraza kuu la Umoja wa mataifa mjini New York baadaye leo.

Anatarjiwa pia kuzungumzia kidogo kuhusu namna alivyofanikiwa kufika alipofika katika taaluma ya uwalimu.
Brother Peter Tabichi amesifiwa kama mwalimu wa kipekee ambaye hugawa sehemu kubwa ya mshahara wake


Haki miliki ya pichaVARKEY FOUNDATIONImage captionBrother Peter Tabichi amesifiwa kama "mwalimu wa kipekee" ambaye hugawa sehemu kubwa ya mshahara wake
Tabichi amenukuliwa kusema kwamba "Hii ni heshima kubwa kwa watawa wa St Franciscan.

Inaonyesha kuwa Umoja wa mataifa unatutambua kutokana na kwamba ina jukumu kuu katika kuendeleza utu."
p076rzkj.jpg

Mwalimu wa Sayansi nchini Kenya ashinda tuzo ya dunia ya mwalimu bora zaidi.
Katika tuzo hiyo iliotolewa katika shindano lililoandaliwa na Wakfu wa Varkey , Brother Peter aliwapiku washiriki wengine 10,000 waliochaguliwa kutoka nchi 179.
Brother Peter anasema kuna "changamoto ya ukosefu wa vifaa " katika shule yake ukiwemo uhaba wa vitabu na waalimu.

Madarasa yenye uwezo wa kuwa na wanafunzi kati ya 35 hadi 40 hulazimika kuwa na wanafunzi 70 na 80, jambo analosema linamaanisha kuwa darasa linakuwa na wanafunzi wengi kupita kiasi, na ni tatizo kwa waalimu.

Ukosefu wa intaneti ya kuaminika unamlazimisha kusafiri hadi kwenye cyber-cafe kwa ajili ya kupakua maelezo ya masomo yake ya sayansi.

Na wanafunzi wengi hutembea zaidi ya maili nne kwenye barabara mbovu kufika shuleni.
Lakini Brother Peter anasema ameazimia kuwapatia fursa ya kusoma na kufikia ndoto zao.

Chanzo: BBC
 
Ni jambo jema na mfano wa kuigwa.
Kila mtu akiamua kufanya akipendacho kwa bidii, tutafika mbali sana.

Lakini badala ya kujifunza kwenye huu uzi, muda si mrefu utageuka kejeli za ukenya na utanzania, nashindwa kuelewa chuki za nini badala ya kutiana moyo?

Uzi nimeleta kwa nia njema, Tanzania haijatajwa sehemu, hivyo comments zenu mtiririke hongera kwa jamaa bila kukojolea uzi kwa chuki na wivu.
 
Uzi nimeleta kwa nia njema, Tanzania haijatajwa sehemu, hivyo comments zenu mtiririke hongera kwa jamaa bila kukojolea uzi kwa chuki na wivu.

Chukua muda kurudia tena nilichokiandika kisha soma post yako.
 
Kongole kwa Mwalimu kuwa Mshindi wa Dunia, good for him wengine wajifunze kwake, Ila Mkutano na Trump waste of time
 
Hapo mkenya kukutana na trump ni sawa na kukutana na mungu tena ukizingatia ana nywere nyeupe lazima asujudie
Uzi nimeleta kwa nia njema, Tanzania haijatajwa sehemu, hivyo comments zenu mtiririke hongera kwa jamaa bila kukojolea uzi kwa chuki na wivu.
 
mshindi wa dunia kwa kigezo gani cha zaidi. wakenya bana wiki hii hatutalala hata njaa kwa waathirika halitaongelewa [emoji23]
Mzungu = Mungu Kwa wakenya
English = Dini ya wakenya
Hapo wakenya wanamuona huyo mwalimu yupo mbinguni mbele ya mwenyezi mungu
 
Back
Top Bottom