Mkenya apagawa, asema Bongo ni sawa na miji ya USA au Ulaya

Ni content creating kuvuta watazamaji tu, newyork mchezo nini!!!?
Mbona maeneo mengine hawasifii wanaiponda Sana Tanzania, au huko hawahitaji kuvuta watazamaji?. Kwa taarifa yako, ukitaka kuwafukuza watazamaji wa Kenya, jaribu kusifia Tanzania. Hebu angalia Kama Kuna wakenya wame "like au ku comment" lolote katika video za huyo jamaa.
 
Jamaa wana chuki na Tz sijapata kuona,
 
Back
Top Bottom