Mbona maeneo mengine hawasifii wanaiponda Sana Tanzania, au huko hawahitaji kuvuta watazamaji?. Kwa taarifa yako, ukitaka kuwafukuza watazamaji wa Kenya, jaribu kusifia Tanzania. Hebu angalia Kama Kuna wakenya wame "like au ku comment" lolote katika video za huyo jamaa.