Mkenya ateuliwa kuwa Katibu Mkuu EAC, huku naye Rais Uhuru akichukua uenyekiti

Mkenya ateuliwa kuwa Katibu Mkuu EAC, huku naye Rais Uhuru akichukua uenyekiti

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Binafsi huwa sina imani kwenye huu usanii wa hiki kitu tunaita EAC, lakini wacha tuone mwisho wake.... pia naona sarafu ya pamoja ipo kwenye hatua za mwsho kutekelezeka

The chairman of the EAC Heads of State, Rwandan President Paul Kagame has announced Dr Peter Mathuki from Kenya as the new Secretary General of the East African Community (EAC)

Dr. Mathuki currently serves as the Chief Executive Officer the East African Business Council (EABC), driving the Private Sector agenda in the EAC Region.

Dr. Mathuki is an expert in regional integration and has served in several regional organizations.

He formerly served as a Member of Parliament of the East African Legislative Assembly (EALA), where he chaired the EALA Committee responsible for good governance and served in the Committee of Trade and Investment.

He previously served as a Director in charge of International Labour Standards (ILO) at the International Confederation of Free Trade Unions (ICFTU-Africa which later became ITUC-Africa) and later in the European Union (EU) programs for Africa based in Asmara, Eritrea.

Dr Mathuki is passionate about regional integration and is currently involved in the process of implementing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) and formation of the African Business Council.

 
Tumtakie mafanikio na ufanisi katika kutekeleza majukumu yake mapya.

Ni kweli kaka hiki chombo kina usanii na changamoto nyingi sana. Kuna wakati naona ni kama mahusiano ya watu ambao ndani wana ajenda zao lakini hawazisemi nje, inabaki kuvutana badala ya kwenda mbele. Kila mmoja anamhofia mwenzake, unajiuliza, kwanini kuwa na mashirika yenye mashaka?
 
..Monetary Union inatakiwa kuanza mwaka 2024.

..mwezi July mwaka huu kutaanzishwa East African Monetary Institute ambayo baadae itakuwa East African Central Bank.

..pia process ya kutafuta member state ambaye ata-host East African Central Bank itaanza hivi karibuni.

..sijui kama serikali ya Tz inajiandaa kwa hili, au dakika za mwisho tutagomea.
 
Back
Top Bottom