Mkenya avumbua Umeme unaotokana na tendo la ndoa

Mkenya avumbua Umeme unaotokana na tendo la ndoa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Huko nchini Kenya, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Samuel Karumbo, amefanya uvumbuzi uliowashtua wengi.

Mvulana mmoja wa miaka 26 Samuel Karumbo ambaye ni mkaazi wa Langas kiungani mwa mji wa Eldoret katika Jimbo la Uasin Gishu amewashangaza wengi kutokana na ubunifu wake wa kipekee hasa katika teknolojia.

Kijana huyo sasa ameunda kitanda ambacho kina uwezo wa kutoa umeme pindi tu kinapotumiwa katika shughuli tofauti hasa ya ngono.

Samuel ametengeneza kitanda ambacho kina uwezo wa kuzalisha umeme lakini ili kitanda hicho kiweze kuzalisha umeme kinahitaji shughuli.

Na kwa mujibu wa mvumbuzi huyo shughuli hiyo inabidi iwe ya 'tendo la ndoa' ili kuwezesha mfumo wa uzalishaji umeme. Na inaarifiwa kiwango cha umeme kinachozalishwa kinategemea na uzito wa shughuli.

Wakenya wapo juu. Hongereni
FB_IMG_1470336537992.jpg
 
Back
Top Bottom