pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Oct 21, 2018 #1 Lawrence Cherono ameshinda mbio hizo kwa mwaka wa pili sasa. 2017 alishinda pia, akakimbia kwa muda, 2:05:09. Mwaka huu ameibuka na course record mpya kwenye mbio hizo, 2:04:06. Hongera zake kwa kushinda na kuiwakilisha nchi yake ya Kenya. https://www.capitalfm.co.ke/sports/...ono-retains-amsterdam-title-in-course-record/
Lawrence Cherono ameshinda mbio hizo kwa mwaka wa pili sasa. 2017 alishinda pia, akakimbia kwa muda, 2:05:09. Mwaka huu ameibuka na course record mpya kwenye mbio hizo, 2:04:06. Hongera zake kwa kushinda na kuiwakilisha nchi yake ya Kenya. https://www.capitalfm.co.ke/sports/...ono-retains-amsterdam-title-in-course-record/
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,620 Reaction score 5,515 Oct 21, 2018 #2 Sisi mabingwa wa dunia wa kutengeneza muvi za kitoto
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Oct 21, 2018 Thread starter #3 Mbulu said: Sisi mabingwa wa dunia wa kutengeneza muvi za kitoto Click to expand... Hahaa! [emoji1] Ngoja wakusikie.
Mbulu said: Sisi mabingwa wa dunia wa kutengeneza muvi za kitoto Click to expand... Hahaa! [emoji1] Ngoja wakusikie.
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Oct 22, 2018 Thread starter #4 Wakenya tunatesa kweli kweli, bendera inapepea kote kote. Sijui kwanini hawa watani wetu huwa wanajitia hamnazo ikifika kwenye habari za michezo kama hizi.
Wakenya tunatesa kweli kweli, bendera inapepea kote kote. Sijui kwanini hawa watani wetu huwa wanajitia hamnazo ikifika kwenye habari za michezo kama hizi.
J Janerose mzalendo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,881 Reaction score 2,813 Oct 22, 2018 #5 Mbulu said: Sisi mabingwa wa dunia wa kutengeneza muvi za kitoto Click to expand... Lol
Arnold mrass cannambo JF-Expert Member Joined Apr 13, 2018 Posts 4,067 Reaction score 2,640 Oct 22, 2018 #6 Win win win. [emoji41][emoji41][emoji41]