Mkenya Lupita Nyong'o Ang'aa Kule Hollywood Kwenye Filamu Mpya Ya Jordan Peele, 'Us'(2019)

Mkenya Lupita Nyong'o Ang'aa Kule Hollywood Kwenye Filamu Mpya Ya Jordan Peele, 'Us'(2019)

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
gettyimages-956964848.jpg
o1BhAACf_400x400.jpg
Lupita Nyong'o ame'star' kwenye movie mpya itakayotolewa March 2019 kutoka kwa producer mashuhuri Jordan Peele. Jordan Peele ndiye producer wa 'Get Out', movie iliyojipa umaarufu chungu nzima na pia movie zingine nyingi na comedy series ya 'Key and Peele'. Wanaigiza na mwigizaji mwenzake wa 'Black Panther', Winston Duke, kama mme na mke. Wakiwa vacation kwenye 'beach home' na watoto wao wawili wanavamiwa na viumbe ambavyo vinafanana na kila mmoja wao na ambavyo vinataka kuwaangamiza.
tqw38jqplf521.jpg
Us-2019.jpg
https://www.inverse.com/article/52052-us-movie-trailer-jordan-peele-lupita-nyongo-is-scary Trailer, ya 'Us', 2019 ambayo imewavutia wengi:
 
Horror genre inaweza kua produced kwa kiasi kidogo halafu ikatoa faida kubwa nahisi producer kaenjoy matunda ya Get Out sasa anataka tena.
 
Horror genre inaweza kua produced kwa kiasi kidogo halafu ikatoa faida kubwa nahisi producer kaenjoy matunda ya Get Out sasa anataka tena.
Alafu cast yenyewe ni waigizaji weusi tofauti na mazoea kwamba nyaja ya filamu za Horror ni ya waigizaji na watazamaji wazungu.
 
Beautiful, talented African Girl.
It seems you don't know Lupita. Lupita is a young lady from Kenya, Kisumu county and seme sub county . Her father is the governor of Kisumu county and he used to be an MP of Seme constituency before devolution. Her father's name is Prof. Peter Anyang' Nyong'o and her mother is Dorothy Nyong'o, here is their pic
FB_IMG_15438548248294088.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom