Mkenya mwengine auliwa na POLISI huko Kwale. Wananchi wataka kusitishwa kwa 'curfew' haraka

Mkenya mwengine auliwa na POLISI huko Kwale. Wananchi wataka kusitishwa kwa 'curfew' haraka

kwani MK254 anasemaje?

Kwa sasa achana na mambo ya Kenya, weka macho yako huku maana ndiko yanatendeka yenyewe kisha ujiulize hapo ulipo kama uko salama au umekomalia zile kauli zenu za "tusitishane"

2356934_Screenshot_20200403-124749.jpeg
 
COVID 19, yasawazisha kufikia 4, matoke paka sasa ni

POLISI Kenya.....4
COVID 19..........4

Sent using Jamii Forums mobile app
Game sasa imerudi draw😂😂
Ila naona mchezaji mwingine jina nyuma ya jezi lake "Njaa" anafanya mazoezi pembeni ya uwanja anagojea refa apulize firimbi ajiunge na mechi hii..
Dakika ni ya 9', mchezo ni 90'
 
Game sasa imerudi draw[emoji23][emoji23]
Ila naona mchezaji mwingine jina nyuma ya jezi lake "Njaa" anafanya mazoezi pembeni ya uwanja anagojea refa apulize firimbi ajiunge na mechi hii..
Dakika ni ya 9', mchezo ni 90'
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Hakikusha hawakujui hapo Nairobi, watakurarua na kukuchanachana kama karatasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa ndio umekuja kujulisha Nchi gani watu wake Wana IQ ndogo zaidi hapa E.A

Hii inafanya idadi ya watu waliouliwa na POLISI kufikia 4, wakati wale waliokufa kutokana na Corona ni 3.

COVID - 19: 3
POLISI: 4

Bado ndio kwanza tupo dakika za mwanzo za mtanange huu, huenda COVID - 19, ikasawazisha leo, usikae mbali na TV yako kufuatilia huu mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku bongeni bongo kambi rasmi wanalalamika kwanini hamchukui hatua Kama kenya?
 
Huku bongeni bongo kambi rasmi wanalalamika kwanini hamchukui hatua Kama kenya?
Spika Ndugai alivyojaribu kumuuliza kwanini anaitaja Kenya, alibadilisha haraka Sana na kuhamia Ghana baada ya kugundua kwamba Kenya ni kimeo, alikosea njia, hahahaha, hahahaha, hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom