Mkenya mwengine auliwa na POLISI huko Kwale. Wananchi wataka kusitishwa kwa 'curfew' haraka

COVID 19, yasawazisha kufikia 4, matoke paka sasa ni

POLISI Kenya.....4
COVID 19..........4

Sent using Jamii Forums mobile app
Game sasa imerudi draw😂😂
Ila naona mchezaji mwingine jina nyuma ya jezi lake "Njaa" anafanya mazoezi pembeni ya uwanja anagojea refa apulize firimbi ajiunge na mechi hii..
Dakika ni ya 9', mchezo ni 90'
 
Game sasa imerudi draw[emoji23][emoji23]
Ila naona mchezaji mwingine jina nyuma ya jezi lake "Njaa" anafanya mazoezi pembeni ya uwanja anagojea refa apulize firimbi ajiunge na mechi hii..
Dakika ni ya 9', mchezo ni 90'
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Hakikusha hawakujui hapo Nairobi, watakurarua na kukuchanachana kama karatasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa ndio umekuja kujulisha Nchi gani watu wake Wana IQ ndogo zaidi hapa E.A
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku bongeni bongo kambi rasmi wanalalamika kwanini hamchukui hatua Kama kenya?
 
Huku bongeni bongo kambi rasmi wanalalamika kwanini hamchukui hatua Kama kenya?
Spika Ndugai alivyojaribu kumuuliza kwanini anaitaja Kenya, alibadilisha haraka Sana na kuhamia Ghana baada ya kugundua kwamba Kenya ni kimeo, alikosea njia, hahahaha, hahahaha, hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…