Mkenya mwenye umbile kubwa alalamika kutoweza kufanya tendo ...hebu cheki.

Dah! pole yake mno, hapo hata kwa ng'ombe haingii sembuse binadamu?
 
Aisee....!!Kila mtu huku duniani ana mwenza wake.Amtafute tu atampata wa kufanana naye.
 
Aisee....!!Kila mtu huku duniani ana mwenza wake.Amtafute tu atampata wa kufanana naye.
yah wapo kwakweli, nimeshwasikia hata humu JF, hawataki shombo za vibamia. Wamtafute tu Mr. Sorence Owiti Opiyo. Here he is...."Special delivery".
 
Duuuu hyo mwanamke atae sx na hyu mchizi ajipange la sivy lazima kiuno kigawanyike tuuu yani by the way nampa pole sana mchiz anakosa uhondo kinma yaniii
 
yah wapo kwakweli, nimeshwasikia hata humu JF, hawataki shombo za vibamia. Wamtafute tu Mr. Sorence Owiti Opiyo. Here he is...."Special delivery".
Huko unakwenda kutafuta kilema mkuu.
 
Huko unakwenda kutafuta kilema mkuu.

Hehehe!! Ndio maanake hapo jirani Sky Eclat si mlijifanya kuchukizwa na vichunusi vya kwetu, sasa huo hapo mziki. Aje huku kui atoe tamko.

Lakini jameni huyo jamaa natumai atapata msaada, hususan sasa ameanikwa hivi, maana duh. Anaishi maisha ya kubaguliwa.
 
Jirani kwa hapo mimi ninaopt kuwa mtawa.😳
 
Oh my!, pole zake na Mungu Ampe wepesi. Hiyo kitu inaonekana nzito kuliko the rest of his body, hope apate msaada jamani.
Eti tuliwacheka na vichunusi...lol
Majibu yamepatikana sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…