Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ni kweli wanafuata pesa lakini utafuataje pesa bila ya kuwana soko?hao ulio wataja hapo wanakuja Kenya sababu ya hela! show hapa Kenya zinalipa maradufu zaidi ya nchi zingine ukanda huu. Mziki wa Kikenya pia target market sio tz.
Kwa mfano, msanii kama Redsan anafanya mziki unao hit Caribbean na North America na anatop charts kule Jamaica lakini labda hajulikani bongo.
Wanaoleta bidhaa zao huko inamaana wanajua soko lipo.
Unafikiri Kenya ndiyo penye pesa tu Afrika au duniani? Ila kwasababu wakenya wanaipenda bidhaa ya Solomoni mkubwa ndiyo maana wanaigharamia na kuinunua.
Kenya mnajitahidi kuimba ila Watanzania kwa hili tunawazidi.