Barbie Maliposa
Senior Member
- Feb 9, 2011
- 153
- 19
Hi dia...Duh,kwani mwanamke akishaolewa anapaswa kuwa na uadui na wapenzi wake wa nyuma?wapi imeandikwa ni dhambi au kosa? Urafiki wa facebook una shida gani? mwambie ajue kwanza kinachoendelea ndo atake ushauri.....ku wapi kuaminiana kwa wanandoa siku hizi? yaani kuna kuviziana....ni haki yake kuwa na urafiki na yeyote as long as hauhatarishi ndoa na familia!!:rant:
Nafikiri wanandoa leo hii ukiwauliza experience ya FACEBOOK ni asilimia kubwa watakupa negative impact i can bet my 50cents on that one
Nafikiri wanandoa leo hii ukiwauliza experience ya FACEBOOK ni asilimia kubwa watakupa negative impact i can bet my 50cents on that one
Na yeye aanzishe uhusiano na ex wake, balanced story.
Mkuu hata wabishe vipi FACEBOOK inabikia kuwa mtandao ambao umevunja ndoa nyingi za watu.Waambie hao mazee. Kuna watu wanabisha ili mradi tu wakati mambo yako dhahiri kabisa. Na takwimu hazidanganyi.Asilimia ya watu wanaotalikiana na kuachana kwa sababu ya Facebook inazidi kuongezeka. Huo ndo ukweli wenyewe licha ya spin ambazo watu wataleta.
Halafu huko Facebook kuna drama za kufa mtu. Na mtu kweli kama mwenza wako amekutana na ex wake huko halafu wanaanzisha urafiki, uwezekano wa huo urafiki wao kukunyima raha ni mkubwa sana.
hivi kwani ukiolewa ndio hutakiwi kuwa na urafiki na marafiki zako wa zamani???????
kwani huyo rafiki yako kahisi kitu gani???????? ina maana mkewe angeamua kuchunguza simu yake ya mkononi asingekuta no za ma baa medi au ma bibi zake wa zamani?????
inamaana kama huyo mkewe wamekosa mawasiliano mengine kama kweli wameamua kurudia relation yao mpaka facebook?????????
najiuliza maswali mengi sipati jibu!!!
Nafikiri wanandoa leo hii ukiwauliza experience ya FACEBOOK ni asilimia kubwa watakupa negative impact i can bet my 50cents on that one
Ukweli ndio huo mkuuSafi sana Kiongozi - Tunakataa Ukweli wakati Ukweli upo dhahiri kabisa...
hehehehe huniamini tena jamaniTeh teh teh....poleni mlioko kwenye ndoa.
Internet ni balaa katika mahusiano. Hakuna kuaminiana tena.
hehehehe huniamini tena jamani
Maane ni asilimia chache sana ya watu ambao wanatumia facebook kwa ajili ya biashara waliobakia wengi wao ni hook-ups huyu jamaa after sometime ategemee kupata matokeo yeyote kutoka kwa wife wake na huyo ex wakeMkuu you hinted a point! Facebook inabomoa sana si ndoa tu hata vijana!!! Watu wengine wako facebook not for social networking but kibiashara zaidi!!! Facebook, facebook!!! Tuitumie kwa makini. Mimi na bet 95 cents on that!!!
Nikuaminije wakati wewe umeanzisha urafiki na yule Byabusha....
ni rafiki tu hakuna cha ziada,