Mkeo ameanzisha urafiki na Ex-boy friend wake wa kwanza


Mwambie akiogopa panya hatonunua sofa kaka...!
 

Mweke wazi tu kuwa mahawala huwa hawaachani katu.
 
mpwa kabla sijakuuliza msimamo wa pasaka,hebu nipe msimamo wako kwanza kny hili la x na fcbk
Mpwa yaani wife eti yuko kwenye FB anachat na X BF wake mkuu kila kitu uanza taratibu baadae ndio tunasikia mambo mengine ingawa watu watabisha sana lakini mimi siafiki kwasababu kinachoelekea kutokea kati ya hao wawili muda si mrefu kitaanza kuonekana
 

Mpwa hii maneno haitabiriki bana,ukweli kama wanachat na hawakuachana vibaya lolote laweza kutokea,lkn kwanini tuwe na mashaka na hao x tuu?wife anaweza chat x na asicheat lkn tukumbuke pia ana male friends wengine,lolote si linaweza kutokea??je kuepusha hilo ni nini?tuwazuie kuingia on line au tuwajengee imani ambayo ni chanya maisha yaendelee bila stress?
 
Mkuu inawezekana kabisa ila kwa upande mwingine tayari FB imeishakuwa na negative impact kubwa kuliko positive wengi wanaoingia huko sio kwa ajili ya mawasiliano ya kawaida leo hii unachat na EX BF the next day utataka muonane the othercoming days god knows what will happen FB kama social network ilianza vizuri ila tujiulize swali mmoja kwanini FB ina play a major role kwenye kuvunja ndoa za watu kwanini inalalamikiwa sana na wanandoa definitely there is something wrong "Divorce lawyers claim the explosion in the popularity of websites such as Facebook and Bebo is tempting people to cheat on their partners. Suspicious spouses have also used the websites to find evidence of flirting and even affairs which have led to divorce.
 
Kuwazuia sio solution ila kumbuka kuwa kila mtu anakuwa na desires zake, mahusiano mengi yanapoanza FB at the end of the day yana result into an affair wengi wao ndio hao unakuta ni mume wa mtu au mke wa mtu
 

siku zote huwa nasema heri nusu shari kuliko shari kamili,
Bora usiyasikie haya mambo, lakini ukiyasikia tu lazima upate lizunguzungu,
 
inferiority complex hizo,kwanini mtu usijiamini mpaka uanze kushukushuku...anaeiba huwa haamini kama mwenzie haibi!ni hayo 2
 
Kuwazuia sio solution ila kumbuka kuwa kila mtu anakuwa na desires zake, mahusiano mengi yanapoanza FB at the end of the day yana result into an affair wengi wao ndio hao unakuta ni mume wa mtu au mke wa mtu

hapa mkuu umenena,mimi naona kikubwa tujenge trust...point yangu ni kuwa hata nikimdoubt leo kuwa wife wangu or galfriend anachat na x wake!bado kuna wanaume wengine wengi anachat nao mbali ya huyo x ambao kama si mwaminifu anaweza toka nao pia,vile vile isiangaliwe upande mmoja hata sisi tunachat na x na wanawake wengine pia so kikubwa tujenge kuaminiana,kama kucheat asiye mwaminifu aweza cheat hata akiwa anaenda fellowship! Tupeane uhuru na kuaminiana(inatosha)...pasaka for a zapa instead of bakardi?
 
I beg to differ...... OLD LOVERS CAN NEVER BE FRIENDS... REM FRIENDSHIP TO LOVE IS POSSIBLE BUT LOVE TO FRIENDSHIP NEVER
 
Thumbs up mkuu, dah zapa mkuu tufanye Vodka Ciroc unasemaje hapo?
 
jamani msimzodowe kila lisemwalo lipo yeye kaomba ushauri.
 
Mmm,Wahenga wanasema yakale ni dhahabu wanaweza kukumbushiana hasa kama waliachana bila ugomvi:hat:
 
ukifatilia hii sredi utaona wanawake wako so confident, hawa ndio wanawake bana, kwa mikwala wanaongoza lakini wakipata mjanja kidogo wao ndio wa kwanza kuingia line na kuvuruga mambo. mtake msitake facebook na social networking zengine zinachangia sana kuvunja mahusiano.

haya kinamama lembeeni hayo madongo yenu, leo niko kiushari kweli aisee, bora muuchune tu.
 

Issue ni kuwa wamama ni rahisi zaidi kucheat na mtu aliyewahi kuwa naye kuliko kucheat na strangers, ukitaka kuumia mtrust awe na ex uone tiktak yake.
Nina experience na my exes ambao wote wameolewa.
 
Mimi na ex wangu ashapata mme na huyo mme alininyang'anya nikawa mpole hisa yuaja tunakumbushia nikipiga simu aje anakuja hamna tatizo kabsa.mmewe akipiga sm wakati tunado tu anasema 'sweet bado nko job darlin'
hamna tabu azoee tu huyo.
Nami na kisasi changu lazma ex nizae nae.
Hahaha.i bet my left testicle jamaa anamegewa
 

mie wangu mmoja yuko kanda ya ziwa nikibeep tu mr anamlipia airtkt, mwingine yuko north nikibeep tu anapanda basi
 
Mwambie kuwa atulie akigundua wanamahusiano ya kukaa bila nguo aachane nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…