[B said:nyumba kubwa[/B];Nyani Ngabu mimi hao wote wanajiita wadhungu sijuhi mambo ya kizamani kufuatilia mwenza wako ana urafiki na nani wana kasoro. Hao wako katika chance kubwa ya kuwa cheated kwani inaonyesha ni jinsi gani wasivyojali. Unaweza kuta asilimia kubwa ni wale ambao muda mwingi wanakuwa na shughuli za kiofisi (workholic) na hivyo wanawapa wenza wao uhuru wa kupindukia.
Unaweza kuta mke wa mtu kila week end yuko club tena peke yake eti mumewe ana tabia za kizungu. Aka mume aso na wivu simtaki! Kama huna wivu maanake hujapenda full stop. Mimi lazima nijue mume wangu ka mu add nani kwenye face book na wana uhusiano gani. Ex hawana nafasi (at least ya wazi) kwenye maisha yetu!
Hiyo ni kweli Nyumba Kubwa hizo ndo moja ya Internal Controls nazosema. Huwezi kumwachia mumeo achati na ma-Xs wake kisa unamwamini. Lazima uchunguze na kuangalia mienendo ya mwenzi wako. Kuaminiana kupo lakini kuna kukumbushana pale unapoona tonge lako linataka kuanza kuonyesha dalili za kudondoka mchangani. Usisubili lidondoke ndo uanze kuchukua hatua. Utabaki kujilaumu na kushikilia kichwa mambo yakishaharibika. Kama mimi nisivyopenda kuendekeza mawasiliano na ma-x ndivyo hivyo nisingependa mywife aendekeza. Humchungi mtu mzima lakini lazima kuonyesha unampenda na unajali hivyo hupendi kuendekeza hayo mawasiliano. Eti urafiki tu...... mbona hatukuweza kujali huo urafiki mbaka tukaachana hatukuowana na hao ma -X.... kwa sasa una umuhimu gani.?
hehehe yaani akae asubiri mpaka jamaa afuje ndio jamaa arekebishe sio?, No wonder ndoa za siku hizi hazidumu. Mleta mada mwambie jamaa yako ashikishe heshima huyo mdada bana, ikiwezekana amtimue kabisa huko facebook , hakuna urafiki wa ma exes, Puuza huu ushauri wangu na utakuja kuanzisha sredi karibuni hapa jamaa keshakula mzigo.Mwambie kuwa atulie akigundua wanamahusiano ya kukaa bila nguo aachane nae
Wanakwetu habari zaidi. Ni mara ya kwanza kuwepo jukwaa hili baada ya muda mrefu wa kuwa observer tu bila kuchangia.
Jamaa yangu wa karibu kaja na lake jambo. Amekuta mkewe ana urafiki kwenye facebook na boy friend wake wa kwanza (aliyemtoa nanihii..., nadhani wakubwa mmeelewa).
Jamaa issue imemchanganya sana japo hajui kinachoendelea. Kaniomba ushauri nami nikaona kabla ya kumshauri (guidance or counciling) nipate mawazo yenu.
Wewe issue hii ungeichukuliaje, au ungechukua hatua gani?
Naomba mawazo yenu wala si kupotezeana!
Nawakilisha