CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Imaginary.Yes,ndo ushakuta msg sasa,it doesn't matter wanaandika au hawaandiki,wewe utafanya nn?????
Ulishamsikia Marehemu Shaaban Robert?
Ushasoma riwaya yake ya kusadikika?
Unafahamu habari ya nchi ya kusadikika?
Naona unaleta stori za kusadikika.
Vinginevyo wawe ni mataahira wenye ndoto za kiabunuasi.