Mkeo au Mchumba akikuacha hivi ndivyo utakavyofanya.

Dah,
Hili andiko limeshiba.
Linafaa kufanyiwa lamination na kutundikwa pale uwanja wa taifa kwa faida ya wanaume
 
Usichoke kutoa elimu katika hiki kizazi cha nyoka.
 
Umemaliza mkuu, kazi kwetu.
 
Hivi huyu jamaa kala mvua ya maisha 30 ?
Yes Rkelly kala mvua 30 na nyingine 20 kwa makosa tofauti tofauti sema ataitumikia kwa pamoja hivyo max atalamba mvua thalatha(30) ,anatarajia kutoka 2045 Mwishoni ,jela unatumikia theluthi ya adhabu so atatumikia miaka 20 tangu hukumu na pia alianza kukaa jela kabla ya hukumu.
 
Aisee sio mchezo; sijui Mimi,wewe, au yeye tutakuwa wap wakati huo? Maana maisha ya Leo sio mchezo.
Nilijiuliza sana kwanini huyo jamaa afanye kituko kama hicho
 
Aisee sio mchezo; sijui Mimi,wewe, au yeye tutakuwa wap wakati huo? Maana maisha ya Leo sio mchezo.
Nilijiuliza sana kwanini huyo jamaa afanye kituko kama hicho

Kweli 2045 parefu sana ,tatizo blacks wakipata hela wanafanya ufirauni mwingi sana ,unaweza ukaona wanaonewa lakini ndiyo ukweli ,just imagine Rkelly alianza kumtafuna Aaliyah akiwa na miaka 13 huo si ubakaji? Wote na kina Diddy mafirauni watupu.
 
Hivi sababu haswa ni nini? Mbona warembo wengi sana huwapenda hao wasanii? Iweje waende Kwa watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…