Mkeo au Mchumba akikuacha hivi ndivyo utakavyofanya.

Hivi sababu haswa ni nini? Mbona warembo wengi sana huwapenda hao wasanii? Iweje waende Kwa watoto?
Warembo hao mara nyingi ni gold-diggers ,sluts ,hookers ,hoes wanaona hawawapendi kiukweli ,wanatafuta watoto wasiojielewa na kuwarubuni na ukikuta mrembo anayejielewa hawaliki kizembe bila committment na ndizo hao wasanii wanaziogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…