fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Najua mtashangaa sana,lakini mwenza wako ambae ndio mtaishi nae kwa amani na furaha na hatimae mtazikana, ni yule ambae hamkubaliani kwa mengi, lakini mnakubaliana machache ambayo ndio msingi wa ndoa yenu.
Msitafute mwenza ambae mnakubaliana mengi, ndoa haitadumu.
Msitafute mwenza ambae mnakubaliana mengi, ndoa haitadumu.